Machapisho

KARAKANA YA UKARABATI WA MAGARI

Picha
Karibu kwa Matengenezo na ukarabati wa magari aina zote kwa gharama nafuu katika Karakana yetu iliyopo Ukonga Magereza Dar es Salaam.  Kwa mawasiliano: Mkuu wa Karakana     +255 714822797   +255 715 841284 Afisa Masoko    +255 738336098     

KAMPUNI YA ULINZI SHIMA GUARD

Picha
SHIMA GUARD Co.Ltd ni kampuni tanzu ya Shirika la Magereza (SHIMA) iliyojidhatiti katika utoaji huduma ya ulinzi na usalama kwenye Mashirika ya Umma, Taasisi za Serikali na binafsi. SHIMA GUARD Co. Ltd inatoa huduma kuendana na mahitaji ya soko kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya mteja kwa kiwango cha juu na ufanisi mkubwa ,katika kuhikikisha mteja anakua salama yeye pamoja na mali zake. Kwa mahitaji ya Huduma zetu wasiliana nasi kwa namba za Simu zifuatazo AFISA UTUMISHI +255 756 653 991                                    +255 715841284 AFISA MASOKO +255 689 078 800                                 +255 742 608763 KARIBU KWA  HUDUMA BOLA NA USALAMA WA MALI ZAKO

KIKOSI UJENZI

Picha
Tunatoa huduma za Ujenzi na Ukarabati wa aina zote za majengo kama Viwanda, Magodauni, Nyumba za Makazi, Ofisi za Serikali na Binafsi ,Shule na Viwanja vya Michezo. nk kwa kutumia zana Bora  za Kisasa za Ujenzi, na Mafundi wenye Uwezo, Uaminifu na Weledi wa hali ya Juu kwa kuzingatia mahitaji ya Mteja. KWA HUDUMA ZETU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO AFISA MASOKO  +255 715 841284                                 +2554742608763                                 +255 754 943346

BIDHAA ZA NGOZI (Leather Product)

Picha
KWA MAHITAJI YA BIDHAA ZETU WASILIANA NASI KUPITIA:  AFISA MASOKO +255 712 121910                                  +255 758 389200 Kilimanjaro International Leather Industries Co.Ltd P.o.Box 74, Moshi Kilimanjaro Plot No. 586 Block LL,Arusha Road Karanga Prison Moshi

USHONAJI WA NGUO

Picha
Tunashona Nguo aina zote na mitindo yote kwa kutumia Mashine Bora  za Kisasa na mafundi wenye ujuzi na weledi wa hali ya juu. KWA MAHITAJI YA HUDUMA ZETU WASILIANA NASI KWA SIMU  AFISA MASOKO + 255 682532626                                  + 255 715 841284                                 +255 658 304191   Mashuka ya Kudalizi   

SAMANI (FURNITURES)

Picha
Conference Table Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, DSM     Office Phone No: 0737722360 Conference Table Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, DSM         Office Phone No: 0737722360 Dinnig Table with Six Chairs Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, Dar - Es - Salam  Office Phone No: 0737722360 Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, Dar - Es -Salam  Office Phone No: 0737722360 Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, DSM Office Phone No: 0737722360 Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, DSM Office Phone No: 0737722360 Kiwanda cha Magereza Ukonga S.L.P 9091, DSM  Office Phone No: 0737722360  Bidhaaa za samani kutoka Kiwanda Cha Samani Uyui, Tabora zilizotengenezwa na Mbao Ngumu (MNINGA).